Flag of Tanzania

UNGUJA ( Swahili Unguja )

Unguja is a Swahili dialect spoken in the island of Zanzibar, Tanzania.
Linguistic Lineage for Swahili
Tanzania

"The New Testament in Swahili, Union Version", 1985.

Baba yetu uliye mbinguni,
jina lako litukuzwe.
Ufalme wako uje,
mapenzi yako yatimizwe hapa duniani kama mbinguni.
Utupe sisi leo chakula chetu cha kila siku.
Utusamehe deni zetu,
Kama sisi vilevile tunavyosamehe wadeni wetu.
Na usitulete katika majaribu,
lakini utuokoe na yule mwovu
(kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu hata milele.
Amina.)

Source: "The New Testament in Swahili, Union Version", 1985.
Contributed by Aleksandr Ermanov, Rostov-na-Donu, Russia - E-mail ermanov@donpac.ru

SECTION INDEX CONVENT OF PATER NOSTER CHRISTUS REX

© Copyright Christus Rex, Inc.